Daniel Chongolo kutemwa Ukatibu Mkuu CCM! Kinana aandaliwa kuwa Makamu Mwenyekiti

Vyanzo vyetu ndani ya CCM vinadokeza kuwa fukuto linaendelea ndani ya Chama Cha Mapinduzi na ndugu Daniel Chongolo amekalia kuti kavu.

Chanzo chetu kinabainisha kuwa wanaodaiwa kumrithi Chongolo ni kati ya ndugu Sixtus Mapunda na Glorious Luoga.

Aidha, Mzee Kinana anadaiwa kutokuwa na mpinzani hivyo njia kwake ni nyeupe.

Haya yatatokea ndani ya siku chache zijazo jijini Dodoma.

Nini kimemponza Chongolo? Tutakujuza kwa kina